Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Happy Nation

Mwanza-Dar.
FB_IMG_1678360265777.jpg
 
Nazunguka nchi nzima kwa Basi na hivi ndio hua nafanya.
Dar to Mwanza nawaamini katarama
Dar to kigoma nawaamini Adventure
Dar to Tanga nawaamini Ratco
Dar to Moshi nawaamini kilimanjaro express
Dar to Morogoro nawaamini Abood
Dar to Dodoma nawaamini Shabiby
Dar to Songea nawaamini Superfeo au selou
Dar to Bukoba nawaamini Abood na Happination
Dar to Singida nawaamini ABC safari
Dar to Iringa nawaamini Alsaedy
Dar to Masasi nawaamini Ibra Line
Dar to Mtwara nawaamini Manning Nice
Dodoma To Bukoba nawaamini SATCO
Mwanza to Silari nawaamini Kisire au Zakaria
Mwanza To Bukoba nawaamini Isamilo
Dar to Katoro nawaamini Geita express au Takbiri
Dar to Kasulu nawaamini Takbiri
Dar to Kahama nawaamini Frester
Mwanza to Kahama nawaamini Frester
Kahama to musoma nawaamini kisire
Dar To Tabora nawaamini NBC
Dar to Newala nawaamini Ibra
Umetisha

Hv mghamba bado wapo Mwanza Arusha
 
Sauli Team uzi huu mnaniangusha ,Dar to Tunduma,paza sauti kubwa ,SAULI....,ohooo kuna mwenye picha ya jiwe pale iringa station (mbata studio),wakati akishangaa bus la Zainab!,binafsi ninayo ipo siku nitaitoa, paza sauti wote waliopanda Navalonge Swela CD ,kutoka Iringa hadi Mamtoni...team mkwawa cne hasa shaaban Robert west nawategemea mtapiga kelele kuhusu hii CD!
 
Huwezi kukuta tajiri anafanya hii michezo tafuteni hela watoto wenu wasije kuwa wanazi kama nyie
Una hela sasa ww ? Mimi na maisha yangu kijana hayahusiani na mambo ya ma BUS ila napenda tu hizi mambo kama ww unavopenda labda muziki au ngono
 
Yes mkuu hii chuma wakati nchi Ina heshima na adabu, inakutoa pale kamata station at 06:00am,Tunduma around 17:00,ina cross border na by 19:00 inaanza kuitafuta Lusaka, ikiingia pale kapiri mposhi buses zote za zambia zinakua zimeshaashwa mbali sana,05:00am good morning Lusaka buses port, maisha yale tungeyaendeleza leo nchi yangu dot.com wasingelalama na viajira uchwara.
 
Hivi unafikir unazi ni umasiki?[emoji23][emoji23][emoji23] unazi ni feeling. Watu wanamiliki. Haya mambo familia zao. Hutakaa uelewe hiyo feeling kwasababu si mnazi mkuu
Umenidanganya japo na mimi ni mnazi ila niliamua kujidai wa kishua
 
Una hela sasa ww ? Mimi na maisha yangu kijana hayahusiani na mambo ya ma BUS ila napenda tu hizi mambo kama ww unavopenda labda muziki au ngono
Hata kuku ana maisha yake huna hela wewe
 
Back
Top Bottom