Shabiby, kuna basi sitalisahau duh mshikamano investment hili gari [emoji1]
Niliwahi kwenda kondoa na kampuni inaitwa champion safari ile nilichoka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiby, kuna basi sitalisahau duh mshikamano investment hili gari [emoji1]
The best one.Team Katarama gongeni like za kutosha sanaaa [emoji91]
Huwezi kukuta tajiri anafanya hii michezo tafuteni hela watoto wenu wasije kuwa wanazi kama nyie
Wanalea wajukuuWale waliowahi kusafiri na Kingcross Dodoma to Iringa kupitia mtera hivi wako wapi
mkuu Ibra Line unazungmzia mwaka gan? labda Ibra Express anabamba hadi sasa newala japo yupo hoi sanaNazunguka nchi nzima kwa Basi na hivi ndio hua nafanya.
Dar to Mwanza nawaamini katarama
Dar to kigoma nawaamini Adventure
Dar to Tanga nawaamini Ratco
Dar to Moshi nawaamini kilimanjaro express
Dar to Morogoro nawaamini Abood
Dar to Dodoma nawaamini Shabiby
Dar to Songea nawaamini Superfeo au selou
Dar to Bukoba nawaamini Abood na Happination
Dar to Singida nawaamini ABC safari
Dar to Iringa nawaamini Alsaedy
Dar to Masasi nawaamini Ibra Line
Dar to Mtwara nawaamini Manning Nice
Dodoma To Bukoba nawaamini SATCO
Mwanza to Silari nawaamini Kisire au Zakaria
Mwanza To Bukoba nawaamini Isamilo
Dar to Katoro nawaamini Geita express au Takbiri
Dar to Kasulu nawaamini Takbiri
Dar to Kahama nawaamini Frester
Mwanza to Kahama nawaamini Frester
Dar to Newala nawaamini Ibra
mkuu Ibra Line unazungmzia mwaka gan? labda Ibra Express anabamba hadi sasa newala japo yupo hoi sana
Wanalea wajukuu
Katarama ni nomaKampuni yangu pendwa ni Allys Sport Bus ambayo kwasasa inaitwa Ally Star Bus [emoji93] au unaweza iita (Chungwa [emoji521]). Hii kampuni inajali sana muda. Yaani hawana gari mzaha hata moja, zote ni [emoji91].
Je, wewe kampuni unayoipenda ni kampuni gani?
NB: Wale mnaowaza ajali huu uzi hauwahusu.
😀😀😀 hatari tulikotoka ni mbaliIlikua unatoka Iringa saa kumi na mbili asubuhi Dodoma hiyo saa mbili usiku, humo ndani mtapanda na mbuzi, kuku, bata hadi paka
Uko njema, Dar Mbeya vipi?Nazunguka nchi nzima kwa Basi na hivi ndio hua nafanya.
Dar to Mwanza nawaamini katarama
Dar to kigoma nawaamini Adventure
Dar to Tanga nawaamini Ratco
Dar to Moshi nawaamini kilimanjaro express
Dar to Morogoro nawaamini Abood
Dar to Dodoma nawaamini Shabiby
Dar to Songea nawaamini Superfeo au selou
Dar to Bukoba nawaamini Abood na Happination
Dar to Singida nawaamini ABC safari
Dar to Iringa nawaamini Alsaedy
Dar to Masasi nawaamini Ibra Line
Dar to Mtwara nawaamini Manning Nice
Dodoma To Bukoba nawaamini SATCO
Mwanza to Silari nawaamini Kisire au Zakaria
Mwanza To Bukoba nawaamini Isamilo
Dar to Katoro nawaamini Geita express au Takbiri
Dar to Kasulu nawaamini Takbiri
Dar to Kahama nawaamini Frester
Mwanza to Kahama nawaamini Frester
Kahama to musoma nawaamini kisire
Dar To Tabora nawaamini NBC
Dar to Newala nawaamini Ibra
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari tulikotoka ni mbali