Mdogo wangu mie makeup huwa napaka sana tu. Sema sio ile ya kunibadilisha nikawa kama kinyago.
Umenitenga f.... uHiyo foundation mbona vyeusi tumetengwa....
Hivi vitu kwakweli binafsi vilinishinda, huwa nabaki kushangaa tu mtu uso mwekundu shingo nyeusi ni vurugu tupu.
Ukivipatia hakuna huo wendu mkuu vinaendana na rangi yako, chunusi zinazibwa ukimuona mtu yuko soft. Sema hili hiyo la Dar ukitoka jasho ni la udongo mbona shughli.Hiyo foundation mbona vyeusi tumetengwa....
Hivi vitu kwakweli binafsi vilinishinda, huwa nabaki kushangaa tu mtu uso mwekundu shingo nyeusi ni vurugu tupu.
sky hiyo simu yako duh, hebu soma ulichoandikaUkivipatia hajuna huo we kundi mkuu bins kwenda na rangi yako, chunusi zinazibwa ukimuona mtu yuko soft. Sema hili hiyo la Dar ukiyoka jasho ni la udongo mbona shughli.
njoo na huku, nimeshusha mzigoUmenitenga f.... u
Mwenzangu hatuchekaniHiyo foundation mbona vyeusi tumetengwa....
Hivi vitu kwakweli binafsi vilinishinda, huwa nabaki kushangaa tu mtu uso mwekundu shingo nyeusi ni vurugu tupu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]njoo na huku, nimeshusha mzigo
Ni product imekukataa, Mara nyingi hizi cheap brand zina allergy reaction. Mimi ninapata reaction na products za Mary KayHivi vitu vimenipita kushoto kwa kweli,sina hobby nadhani hata ngozi yangu nayo haitaki makorombwezo,majuzi kati hapa nmepakwa makeup saluni nikahudhurie harusi,asubuhi naamka nna vipele uso mzima,vile vidogo dogoooo,najuuta mana mpaka leo havijatoka.
Wataalam wananiambia nipake malimao,leo ndo siku ya tatu napaka malimao lakini bado sijaona matokeo
Nirekebisha kwanza huu uso,haya mapele yatoke kwanza ndo ntaangalia ustaarabu mwingine kama nitafute products zenye quality au niendelee ru na poda yangu ya baby johnson[emoji3][emoji143]Ni product imekukataa, Mara nyingi hizi cheap brand zina allergy reaction. Mimi ninapata reaction na products za Mary Kay