Wale wapenda makeup

Wale wapenda makeup

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kwa wale wapenda makeup karibuni tutete

1. Unaanza na conceler, hii inaziba madoa, makovu na weusi chini ya macho
dark_1.jpg

concealer meaning - Bing video

2. Foundation.
Tafuta inayoendana na rangi yako na upake kuleta ngozi ya rangi moja usoni, ni kama kupaka rangi. kuna liquid foundation, cream powder
fa628dc487cf70af060e592ecbb41669.jpg

foundation makeup meaning - Bing video

Contour

tuje kwenye BabyCare, hii aina ya mafuta ya mgando meupe, unaweza paka kuanzia kichwani mpaka kwenye unyayo. Mbali na kupaka kuna matumizi ya ziada off label.
 
Hiyo foundation mbona vyeusi tumetengwa....

Hivi vitu kwakweli binafsi vilinishinda, huwa nabaki kushangaa tu mtu uso mwekundu shingo nyeusi ni vurugu tupu.
Ukivipatia hakuna huo wendu mkuu vinaendana na rangi yako, chunusi zinazibwa ukimuona mtu yuko soft. Sema hili hiyo la Dar ukitoka jasho ni la udongo mbona shughli.
 
Ukivipatia hajuna huo we kundi mkuu bins kwenda na rangi yako, chunusi zinazibwa ukimuona mtu yuko soft. Sema hili hiyo la Dar ukiyoka jasho ni la udongo mbona shughli.
sky hiyo simu yako duh, hebu soma ulichoandika
 
Kabla hata hujapaka kitu chochote,ni vyema ukaanza na primer,ni nzuri sana sababu inasaidia makeup kustick vilivyo na kukaa kwa muda mrefu
 
Hivi vitu vimenipita kushoto kwa kweli,sina hobby nadhani hata ngozi yangu nayo haitaki makorombwezo,majuzi kati hapa nmepakwa makeup saluni nikahudhurie harusi,asubuhi naamka nna vipele uso mzima,vile vidogo dogoooo,najuuta mana mpaka leo havijatoka.
Wataalam wananiambia nipake malimao,leo ndo siku ya tatu napaka malimao lakini bado sijaona matokeo
 
Ni product imekukataa, Mara nyingi hizi cheap brand zina allergy reaction. Mimi ninapata reaction na products za Mary Kay
 
Ni product imekukataa, Mara nyingi hizi cheap brand zina allergy reaction. Mimi ninapata reaction na products za Mary Kay
Nirekebisha kwanza huu uso,haya mapele yatoke kwanza ndo ntaangalia ustaarabu mwingine kama nitafute products zenye quality au niendelee ru na poda yangu ya baby johnson[emoji3][emoji143]
 
Back
Top Bottom