clifford20
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 205
- 307
Wasubiri akina JunioWale wapenzi wa Anime tukutane hapa
Naombeni mnitajie Anime kali hasa za wajapan ikiwezekana mnisaidie na download link zake
Anime ambazo nimeangalia
1-HunterxHunter
2-Naruto(bado naendelea)
SawaWasubiri akina Junio
Hizo anime zote ulizoangalia ni shonen(action anime).Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa
Naombeni mnitajie Anime kali hasa za wajapan ikiwezekana mnisaidie na download link zake
Anime ambazo nimeangalia
1-HunterxHunter
2-Naruto(bado naendelea)
Action ndo nazikubaliHizo anime zote ulizoangalia ni shonen(action anime).
Unataka recommendations za genre ipi??
Kwa upande wangu nimebahatika kuangalia anime nyingi sana, kwasababu nazipenda kuliko animation za Hollywood, naweza kukupa recommendations nyingi nambie tuu unapenda genre
Sawa, ntajia ulizo anglia hadi asaiv au ndo hizo tuu?Action ndo nazikubali
Una taste nzuri...black Clover,
Naruto,
Na hiyo hunter
Death note tyr sema cjaikubl kiivoUna taste nzuri...
Tafuta kuangalia kwanza hizi anime....
Attack on titan
Berserk
Deathnote
Vinland saga
Kama huwez kuzipata naweza kukupa channel za telegram
Pp mzeeIchek Dragon ball super na Attack on titan
Deathnote umeangalia anime au live action ya Netflix?Death note tyr sema cjaikubl kiivo
Ach nizisake mzee
Nkbl
Anime kbs nillipend vipand vya mwanzo baada ya wapo uongo tu hahaDeathnote umeangalia anime au live action ya Netflix?
Anza na hio attack on titan ni nzuri mnoDeath note tyr sema cjaikubl kiivo
Ach nizisake mzee
Nkbl
Pp.mzeeAnza na hio attack on titan ni nzuri mno
Uliangalie zile episode 34 au zile special episodes??Anime kbs nillipend vipand vya mwanzo baada ya wapo uongo tu haha
Episod za mbele uko cjui nilikua nazionaje hahahahUliangalie zile episode 34 au zile special episodes??
Maana we ndo mtu wa kwanza unasema hujaipenda, kuna ma-legend wa anime nikiwapa waangalie hii wanaipenda sana wanakuja nishukuru nashangaa ww huipendi?
Au episode za mbele zilikuwa zinakuchanganya🤣🤣
Sema naweza kukuelewa, hio inatokeaga kwa watu wengi haswa wanao anza kuangalia anime ambazo zina story complicated, kama unapenda action sana kuliko story, bac tafuta hizi hapa ukimaliza hizo;Episod za mbele uko cjui nilikua nazionaje hahahah