Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

Attack on titan part 4 ishatoka??? Naisubir kwa hamu
 
Sema naweza kukuelewa, hio inatokeaga kwa watu wengi haswa wanao anza kuangalia anime ambazo zina story complicated, kama unapenda action sana kuliko story, bac tafuta hizi hapa ukimaliza hizo;
Demon Slayer(animation yake ni kali mno na ina action scenes kali sana but story wise sio complicated sana haiumizi kichwa kama Deathnote🤣)
Dragon ball super(hii ni mkono na vibe kwenda mbele🤣 hii ndo shonen iliyokamilika)
One Piece(one of my personal favourite bado naendelea kuiangalia haijaisha na Netflix wametoa live action yake)
Full metal alchemist; brotherhood(Hii ina bonge moja la story, very interesting)
Gintama
My hero academia
Tokyo revengers
Parasyte
Unajua,
Nkbl bingwa
 
Kama unapenda anime inayohusu science and knowledge tafuta Dr. Stone, nayo niliipenda sana, ina story nzuri na utajifunza mambo mengi sana ya science, ila kama hupendi science itakuboa tuu achana nayo.
Nikipata mda ntapita nayo
 
Washkaji tafuteni hii anime ni single movie, inaitwa "Akira" ni kali mno, ime-inspre anime nyingi hadi leo bado wanaendelea kuiga na kujifunza baadhi ya film-making techniques kweny hii anime, ime-inspire pia baadhi ya animations na hata movies za hollywood mfano ni kama The matrix, Blade Runner, inception etc

images - 2023-09-17T235448.483.jpeg
 
Screenshot_20231015_234854_Telegram.jpg

Made this poll in one of my channels where we discuss movies and other related stuff.
Personally I voted for Guts💪🏼

Weka na wewe Vote yako...
 
Back
Top Bottom