Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

Nilicheka Sana siku the beast titan anaambiwa kwenye jeshi zima kuwa makini na Levi
Halafu akajua utani.

Yule Mwamba ni habari nyingine.
Picha linaanza alipokutana nae sasa

Pale alivyomu attack beast titan. Eti akaziba shingoni, mara shwaaa macho hana, hajakaa Sawa miguu imeondoka, hajawaza vizuri mikono imecharangwa.

Yaani in matter of seconds Mwamba Levi kamchomoa jamaa, tayari kamaliza Kazi.
 
Walipokutana mara ya pili kule kwao

Alimwambia Eren Adui yangu sio wewe ni Levi akaita Levi... Jamaa kumbe amlia time tuu 😂kilichotokea ni dakika moja mwili wa titan upo chini yeye katolewa humo😂😂😂nikasema hili battle linakuwa kali mbona
 
Back
Top Bottom