[emoji23][emoji23][emoji23]mwagilia moyo mamaMi nilijua nikinywaji tu Kama Novida
Sijafatilia
Niliachana na pombe naona shetani amenirudisha kwa nguvu
Ila yafaa nini kuishi bila kunywa [emoji1787][emoji1787]
Yaani Ni kibaya acha tuNikahisi ni mimi tu ndo sijaielewa
Ni mbaya kwakweli, wamejaza misukari mpaka wameharibu
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Wewe utabakishwa udeki asubuhi shauri yakoDuh [emoji23][emoji23][emoji23] nimejipanga na 30000
Uitapikie?utarequest tu[emoji23][emoji23][emoji23] nikilewa utanifwata na ile BMW yako sawa tufiche aibu kidogo ya kulewa na huna gar
πππππVery[emoji23][emoji23][emoji23] joannah are you sure
Anakunywa juice huyo, hayuko serious na maishaKwani Mwachiluwi anakunywa hata hizo bia Basi?anakunywa flying fishπ€
Ni kubondaaa tuu.View attachment 2538176
Nilianza na Wine naona Haina maajabu
Huyo tukimpa hizi anazikwa [emoji1787][emoji1787]
Kwani Mwachiluwi huna gari? Kwanini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23] nikilewa utanifwata na ile BMW yako sawa tufiche aibu kidogo ya kulewa na huna gar
Balaa na nusuπHii kitu hatari sana π₯
SafiKataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
π
Hio kwangu lazm nyama zihusike lasivyo kesho yake ni kama visu na sindano viko tumboniBalaa na nusuπ
Kabla hujaianza lazima ushibe nyama za kutoshaHio kwangu lazm nyama zihusike lasivyo kesho yake ni kama visu na sindano viko tumboni
πππππYaani ana Masikhara sanaAnakunywa juice huyo, hayuko serious na maisha
Uitapikie?utarequest tu
Anakunywa juice huyo, hayuko serious na maisha
Duh [emoji23][emoji23][emoji23] nimejipanga na 30000
View attachment 2538314
Aya hii nakunywa pole pole mpaka nimalize nikivunja vyomb vyangu ndani hakikishen mnaninunulia sawa