kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Nyama ,imebabuliwa Sana ,huogopi Kansa ya utumboKaribu nyamaa[emoji28]
View attachment 2566663
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyama ,imebabuliwa Sana ,huogopi Kansa ya utumboKaribu nyamaa[emoji28]
View attachment 2566663
Hii ndio safi mkuu!Nyama ,imebabuliwa Sana ,huogopi Kansa ya utumbo
Kama huogopi moto wa jahanamu vipi huogopi kuanguka barabarani ukiashikwa vibaya na wanaume wenzako.View attachment 2536811
Chat na picha ya kinywaji🥂
Wengine tunakunywa kwa kiasi, kwangu ni starehe mkuuKama huogopi moto wa jahanamu vipi huogopi kuanguka barabarani ukiashikwa vibaya na wanaume wenzako.
Nimewashududia wanaume wengi wakifanyiwa vibaya.
Sisi wenye akili timamu tu maisha yanakuwa magumu itakuwaje kwa wale wanaojitoa akili na kujiharibu afya zao.
Watu wanakufa maini na figo vikiwa vizimaTunza maini na figo yako
Ushawahi shikwa na Mwanaume mwenzio?Wengine tunakunywa kwa kiasi, kwangu ni starehe mkuu