Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mbona unasura ya kichina ww [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] just curious
Hata kama ubadilishe avatar nishaisave long tym[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana hujaniangalia vizuri nna sura ya kihindi
😍😍I like what am seeing,kamkono kazuriii....Huwezi kufwa bwana kadocho hivyoView attachment 2573409
Nafwa [emoji16]
Nibakizie nakujaaa😋
Yako ipo tu😆Nibakizie nakujaaa😋
Umetishaaa😂Yako ipo tu😆
Hivi hyo mikucha mirefu papa unalisafishaje?Hivi mbona unasura ya kichina ww 😁😁😁😁 just curious
Naitafuta sana Bourbon. Npo Dar. Naipata wapi + priceTuendelee kulewa 🥂🥃
View attachment 2587802
Ndo hapo sasa labda anasafishwa na mmeweHivi hyo mikucha mirefu papa unalisafishaje?
Wewe umeambiwa ukienda na maini au figo nzuri kwa mungu utapewa tuzo. Nakati ukifa tu funza wanakula, halibu kila kitu ili funza wasile kitu. 😂😂😂😂Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
Bei Gani hii jamaniView attachment 2538170
Mwambie aje tupige vitu