Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Naitafuta hii
JamiiForums307267927.jpg
 
Mkuu unakunywa ngapi[emoji23], mbona limoja halina shida
Oh! Nilikua napiga hizo mbili na castle lager 4: yani hiko kimoja na bia mbili nikimaliza naagiza kingine na bia mbili zingine nakua nimemaliza kikao naondoka! Shida yake ilikua nikikaa sehemu tulivu natulia ila nikikaa na vichwa resi kesho yake tunasimuliwa maajabu ambayo hata mussa hakuyashuhudia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bia zenyewe za moto!
 
Back
Top Bottom