Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
πŸ˜‚
Hayo maini na figo uyatunze kwani we mbuzi au Ng'ombe ? ,Unatunza maini kesho unapata ajari mbaya ya gari unakufaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…