Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
Hayo maini na figo uyatunze kwani we mbuzi au Ng'ombe ? ,Unatunza maini kesho unapata ajari mbaya ya gari unakufa😂
 
Leo nipo uswahilini nainjoi dela na k vant
JPEG_20230304_203606_6414530884838886587.jpg
 
Back
Top Bottom