Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Team Grants tunaendelea kukimbiza tu humu ndani..
20220614_224215.jpg
 
Historia kidogo....

Je wajua Cognac (tamka Konyagi) ni eneo huko mkoani Charente nchini Ufaransa maarufu sana kwa kutengeneza vinywaji ambavyo vinaitwa pia Cognac. Brand maarufu sana za cognac duniani zipo 4 nazo ni Hennessy, Martell, Rémy Martin, na Courvoisier.

Vinywaji hivi vimejizolea umaarufu duniani kote sababu ya uzuri na historia yake na vinapendelewa sana na watu maarufu. Kati hizo brand nne, Martell ni ya mwanzo kutengenezwa. Ilianza kutengenezwa mwaka 1715, wakati Hennessy ni ya mwisho kati ya hizo nne, ilianza kutengezezwa 1765. Utengenezaji wa Cognac hizi hutumia mizabibu maalum inayolimwa hapo hapo Cognac na brand zote zinalinda na kuheshimu sana tamaduni hii.
Vinjwaji hivi ni vya bei ghali hasa Hennessy na Martell.

Swali la kizushi hii Cognac au Konyagi ya Tanzania aka Spirit of the nation jina walitohoa kule Ufaransa au?🤣🤣

Jack Palladino
 
Back
Top Bottom