Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Nimependa na Somo la leo kilikuwa fire kweli kweli linapatikana.

Mathayo 15:11
Sikilizeni,mfahamu,sio kiingiacho kinywani humtia mtu najisi,Bali kimtokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu najisi....

Kwa hiyo Kama kawaida😂

Sina mpango wa kudonate mkuu. Thawabu zangu nazitafuta kwa njia nyingine. Neno linasema "tutapewa miili mipya".

Umeenda kanisani leo
 
Namalizia w.end🥂
20230305_172634.jpg
 
Back
Top Bottom