Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Yaani hiyo Ni bampa to bampaTunaendeleza weekend🥂😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hiyo Ni bampa to bampaTunaendeleza weekend🥂😅
Kwani wewe Hutaki kufanya matendo ya huruma ya kudonate organ zako pale unapofariki ili upate thawabu huko uendako?Kuna faida gani mtu akifa na maini mazima (mapya)?
🖕Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
Sina mpango wa kudonate mkuu. Thawabu zangu nazitafuta kwa njia nyingine. Neno linasema "tutapewa miili mipya".Kwani wewe Hutaki kufanya matendo ya huruma ya kudonate organ zako pale unapofariki ili upate thawabu huko uendako?
Sina mpango wa kudonate mkuu. Thawabu zangu nazitafuta kwa njia nyingine. Neno linasema "tutapewa miili mipya".
Umeenda kanisani leo
Maini yatawakoma wewe na Lenie 😂Namalizia w.end🥂
View attachment 2537888
Safi sana!..cheers🥂Mahoka baba -TID.View attachment 2536844
Weeee ukitaka kuufungua naomba uniite tasavali😋😋Kuna mzigo mwingine upo standby😊🥂
View attachment 2537892
Wewe tena mdau mwenyewe!Weeee ukitaka kuufungua naomba uniite tasavali😋😋
Nimepata kiu ya ghafla
Mwachiluwi hivi ndio vitu vya kunywa, achana na hayo mabia yanayojaza tumboKuna mzigo mwingine upo standby😊🥂
View attachment 2537892
Dogo hasikii kabisaMwachiluwi hivi ndio vitu vya kunywa, achana na hayo mabia yanayojaza tumbo
Mwachiluwi hivi ndio vitu vya kunywa, achana na hayo mabia yanayojaza tumbo
Dogo hasikii kabisa
Safi sana🥂Leo nitajaribu mkuu kwa ajili yako
Safi sana[emoji1635]
Tutakuja hapo chapNitakupa location uje na lenie
Pesa makaratasi, tumia zikuzoee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pesa yake sasa duh