Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza..
Nimeona kuna umuhimu kwa wadau tunaopenda masuala ya UNYUNYU kukutana hapa na kujuzana ni aina gani ya Perfume/Body Spray(s) kali ambayo(zo) tumewahi kutumia.
Nianze tu, mimi ni mpenzi zaidi wa Perfume kuliko Body Spray.
Mpaka sasa nimeshatumia Perfume nyingi sana lakini kuna Perfume mbili (2) ambazo mpaka sasa ndani kwangu zipo na zikiisha nafanya replacement tu.
1. ATOM: Ipo kwenye kichupa kidogo tu, huwa nanunua K/koo Tsh. 25,000/-
Hii perfume ina harufu nzuri sana. Kwangu mimi ni No.1.
Yani hii ikiisha leo kesho naenda kuipulizia mjini!
2. DOLBY. Hii nilianza kutumia kama Body Spray, nikaja kusikia kuwa ipo Perfume yake. Ndo mpaka leo nipo nayo.
Huwa sometimes nachanganyia na mzigo wa ATOM, mambo yanaenda sawa kabisa.
Ko wadau, karibuni tujuzane aina kali za Perfume, na kuhusu michanganyo (Perfume/Body Spray zipi zinafaa kuchanganyia), n.k.