Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

Hiyo axe ni deodorant na Feelings ni body spray...... Sasa ukipakaa hizi mbili lwa wakati m'moja huwa zinatoa harufu nzuri sana na inakaa muda mrefu sana.
images%20(2).jpeg
IMG_20200627_131750.jpeg
 
Blue 4Men,25,000/= tu inadumu kwenye nguo zaidi ya masaa 24 ni vile sirudii nguo navaa mara moja but nahisi inaweza kusogea zaidi ya hapo.

Mwaka wa kumi na sita huu naitumia but nilishawahi kujaribu kuibadilisha ila sijapata mbadala wake,kingine ajabu ya perfumes anaweza kutumia aina hii mwenzako ukaisikia harufu yake ilivyo nzuri then aina hiyo hiyo ukaitumia wewe ukahisi harufu tofauti kabisa.
 
Hii ni kweli.. Kuna harufu moja ya perfume jamaa wangu alikuwa akipenda kutumia kupaka, ilikua inakera kichizi.
Yani nikimsogelea karibu ni lazima nipige chafya za kutosha.
Nikatokea kuichukia tu, lakini yeye anaikubali hatari!
Nimeisahau jina.
 
Back
Top Bottom