atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Bei gani hii inaenda mkuu ?Black Mountain PerfumeView attachment 1491746
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani hii inaenda mkuu ?Black Mountain PerfumeView attachment 1491746
Hiyo 24000 mpaka 21000 unapata mkuuBei gan hii inaenda mkuu ?
Hii umevuta bei gani?
Black market na black carKama kichwa cha uzi kinavyojieleza..
Nimeona kuna umuhimu kwa wadau tunaopenda masuala ya UNYUNYU kukutana hapa na kujuzana ni aina gani ya Perfume/Body Spray(s) kali ambayo(zo) tumewahi kutumia.
Nianze tu, mimi ni mpenzi zaidi wa Perfume kuliko Body Spray.
Mpaka sasa nimeshatumia Perfume nyingi sana lakini kuna Perfume mbili (2) ambazo mpaka sasa ndani kwangu zipo na zikiisha nafanya replacement tu.
1. ATOM: Ipo kwenye kichupa kidogo tu, huwa nanunua K/koo Tsh. 25,000/-
Hii perfume ina harufu nzuri sana. Kwangu mimi ni No.1.
Yani hii ikiisha leo kesho naenda kuipulizia mjini!
2. DOLBY. Hii nilianza kutumia kama Body Spray, nikaja kusikia kuwa ipo Perfume yake. Ndo mpaka leo nipo nayo.
Huwa sometimes nachanganyia na mzigo wa ATOM, mambo yanaenda sawa kabisa.
Ko wadau, karibuni tujuzane aina kali za Perfume, na kuhusu michanganyo (Perfume/Body Spray zipi zinafaa kuchanganyia), n.k.
AiseeNikionaga mtu anazungumzia udi, nahisi ni wale wanaofugaga majini ambao wao huyaita "Majini wazuri".
Kwa Arusha maduka ya pafyum original ni lipi sababu Ila taste hazifanani kabisa,so ningepafahamu duka la pafyum og ingekuwa ni poa zaid[emoji106]Hiyo 24000 mpaka 21000 unapata mkuu
Mimi nipo Dsm mkuuKwa Arusha maduka ya pafyum original ni lipi sababu Ila taste hazifanani kabisa,so ningepafahamu duka la pafyum og ingekuwa ni poa zaid[emoji106]
Now you're talking..
Izo si ndio zile perfume ambazo ukipaka unanukia kama jini!?Mzigo wangu huu. Buku 6 tuView attachment 1599117
[emoji2]Izo si ndio zile perfume ambazo ukipaka unanukia kama jini!?
Ushawahi nusa hao majini mkuu?Izo si ndio zile perfume ambazo ukipaka unanukia kama jini!?
Ndo watu wanavyosemaUshawahi nusa hao majini mkuu??
Kisa ina jina la kiarabuNdo watu wanavyosema
Hapana.. I'm a muslim actually, nilivyoona perfume ya elfu 6 ndo nikaweka hiyo doubt!Kisa ina jina la kiarabu
Niliinunua karibu na msikiti mmoja hapo mwanza center. Kwa sababu ni karbu na msikitini i hope iko njemaHapana.. I'm a muslim actually, nilivyoona perfume ya elfu 6 ndo nikaweka hiyo doubt!
Aha, ok!Niliinunua karibu na msikiti mmoja hapo mwanza center. Kwa sababu ni karbu na msikitini i hope iko njema