Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

Wakuu salaam kuna perfume moja inaitwa pure white naitafuta pasi mafanikio msaada katika hili natanguliza shukrani
 
Walikopi hii?
images%20(11).jpg
 
Wengi mmeleta mi picha ila atokee mtu ajarbu hii combination asipo pata demu first [emoji23][emoji2] .....

Dx77 na dolby changanya na Nivea black carbon. ...

Nmepataga mademu 3 kisa huo mnukio mazeee [emoji38][emoji23][emoji1]
 
Nivea black caborn
 
Back
Top Bottom