Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

bei gani hii mkuu
hii ni kati ta 9k au 10
60377_xlarge.jpg
 
Nilianza na body spry inaitwa Bellagio lakin nikaachana nayo bada ya kupata manzi mmoja aliyekuwa anatumia perfume moja inaitwa Alfares nikaipenda sana na mi nikaanza kuitumia hii nayo ni nzuri sana inakaa muda mrefu, nilipoachana na yule demu baada ya kuniletea mazongezonge sasa hivi natumia body spry inaitwa Global Man iko poa sana kwa upande wangu......

Hata na nyinginezo nimepitapita nazo kama hiyo Dolby, nikatumia inaitwa black silver, nikatumia inaitwa na nyinginezo nyiiingi nimezisahau lakini zilizo bora kwangu ni hizo tatu za juu
Global man ni fire🔥
 
Wakuu,nilishwahi kutumia copy ya AXE BLACK,(perfume ) aisee ina harufu nzuri hatari . Nilivutiwa nayo mno. Nimejaribu kuitafuta OG yake au hata first copy lakin sijawahi kuipata. Ni wapi inauzwa hii kwa anaefahamu

Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
Ukiipata OG yake nitag mkuu, copy yake iko njema sana
 
Natafuta bado perfume inaitwa Pure White nilifika hadi Dsm asilimia kubwa maduka niliyo tembelea nimeikosa !
 
Wakuu,nilishwahi kutumia copy ya AXE BLACK,(perfume ) aisee ina harufu nzuri hatari . Nilivutiwa nayo mno. Nimejaribu kuitafuta OG yake au hata first copy lakin sijawahi kuipata. Ni wapi inauzwa hii kwa anaefahamu

Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
ulinunua wapi? Axe Pollo mbona haikai sana
 
Back
Top Bottom