Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe 5 huu mzigo naukubali SanaBlue 4Men,25,000/= tu inadumu kwenye nguo zaidi ya masaa 24 ni vile sirudii nguo navaa mara moja but nahisi inaweza kusogea zaidi ya hapo.
Mwaka wa kumi na sita huu naitumia but nilishawahi kujaribu kuibadilisha ila sijapata mbadala wake,kingine ajabu ya perfumes anaweza kutumia aina hii mwenzako ukaisikia harufu yake ilivyo nzuri then aina hiyo hiyo ukaitumia wewe ukahisi harufu tofauti kabisa.
[emoji1420]Nipe 5 huu mzigo naukubali Sana
Global man ni new version ya Aisimyake back in those days when Aisimi was aisimi daaaahhhhNilianza na body spry inaitwa Bellagio lakin nikaachana nayo bada ya kupata manzi mmoja aliyekuwa anatumia perfume moja inaitwa Alfares nikaipenda sana na mi nikaanza kuitumia hii nayo ni nzuri sana inakaa muda mrefu, nilipoachana na yule demu baada ya kuniletea mazongezonge sasa hivi natumia body spry inaitwa Global Man iko poa sana kwa upande wangu......
Hata na nyinginezo nimepitapita nazo kama hiyo Dolby, nikatumia inaitwa black silver, nikatumia inaitwa na nyinginezo nyiiingi nimezisahau lakini zilizo bora kwangu ni hizo tatu za juu
Global man ni new version ya Aisimyake back in those days when Aisimi was aisimi daaaahhhh
Umenikumbusha mbali kinoma mkuu baasi tu,
Nilikuwanga msingo so nikiwakatia madem, wanakula fare b4 nimnoki baby mama juu tu ako kwa area hizi.
Nianzie mbali labda kwa kukuuliza kwann hujaelewa mkuu?Sijaelewa kitu[emoji1787]
Hiyo ndiyo perfume natumia lately
Wapi wanapima mzee baba. Tupeane chimbo watu wageni kabisa kwenye perfume.sauvage,creed aventus na mixture za different perfume in one bottle
wacheck awa intagram na wegineo wengiWapi wanapima mzee baba. Tupeane chimbo watu wageni kabisa kwenye perfume.
Blue de Chanel ina bei gani mkuu!?Sauvage,Invictus na Blue de Chanel hii combination ni kama Messi,Neymar na Suarez[emoji23]