Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

Jamani kwa wahenga,kama kuna atakaeiona kile kitu cha cobra anistue. Kalitamba sana miaka ya 90.
 
Kuna spray moja yakuitwa LO'REAL MEN EXPERT hiyo ndio yenyewe sasa hakuna kama hiyo halafu hapa bongo maduka ma chache sana wanaiuza juzi nime zinguka karibia maduka yote k/koo nilikuja kubahatisha moja tu. [emoji855]
 
Hii kitu ni balaaa wanao ijua hii watawaambieni ina harufu nzuri sana pi ina dumu sio kama zingine za hovyo hovyo [emoji23][emoji119]
60377_xlarge-1.jpg
 
Creed Aventus dho kwa sasa naona watu wengi wanaitumia nafkiria kubadilisha
Hehehe Haya Ni matambo mkuu....
Kwa watu wengi wanatumia Clone ya creed ambayo kwa pro ndo wanajua the difference....
Nikicheki hiyo maneno yako halaf nikiangalia price ya creed Haviniingi akilini kabisa
 
Mzigo bei ni £450+ af watu wengu wawe wanatumia?..hata ulaya hakuna kitu kama hiki nadhani..watakao kuwa wanatumia ni wachache tu.

Jamaa katupiga kamba.
 
Back
Top Bottom