cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,376
- 2,393
- Thread starter
- #21
Toroka uje mjini gongo na konyagi zote ni dry gin zina tabia moja mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh kitwanga kaokoka sasahivi baada ya kutumbuliwa jipu.Mleta mada ni mh!kitwanga
Njoo Nikununulie.Namaqua sweet wine katika ubora wangu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ushaona Namaqua unaleta habari ya robertsonPata robertson wine mbili mkuu nakuja kulipa.
Viroba vinefungiwa mdau,sasa tunapiga kitu double kikckMi nakulaga Balimi ndogo kuanzia chupa 10 hivi nachanganya na valuu viroba vitano ndo akili inakaa sawa nikiamka asubuhi nawahi supu ya nguvu ya mbuzi na ndizi za kuchemsha,
Napendaga zaidi Balimi na Valuu na sometimes Grant's
Cheers[emoji482] [emoji482] [emoji482]
Molasessi.zetu za asili kaskazini.chugaKuna gongo inayo tengenezwa kwa miwa na ipo inayo tengenezwa kwa molasessi ni ipi unapendelea mkuu.
Chama wanaTena kitambi cha chibuku kibaya kinavimba pembeni2 kama chura
Nikipata captain morgan naweza nikasimamisha gari ya pt niwaulize kwa nini wana zurura usiku.Umesahau captain morgan the best rum
Ipi kali mkuu ya kiranyii au ya orkokola.Molasessi.zetu za asili kaskazini.chuga
Hapo juu ya bati.Na wanyama Choma pekee tukutane wapi?
Duh bora zanzi kitu maziwa ila nyagi utakua na hasira za ajabuu na macho mekundu mkuu.Kitu Zanzi na Nyagi..
We mlokole, ile ku comment tu, umefanya dhambi maana umetamani.Uzi nipite mbali huu
"Slave - Lucky Dube"
Ministers of religion
Have visited me many times
To talk about it
They say to me
I gotta leave it I gotta leave it
It's a bad habit
For a man
But when I try to leave it
My friends keep telling me
I'm a fool amongst fools
[Chorus:]Now I'm a slave, a slave
I'm a slave
I'm a liquor slave
I'm a slave, a slave, slave
I'm a slave
Just a liquor slave
I have lost my dignity
I had before trying
To please everybody
Some say to me
Yo yo
I look better when I'm drunk
Some say no no no
I look bad you know
Sometimes I cry
I cry but my crying
Never helps me none
[Chorus:]'Cause now I am a slave, a slave
I'm a slave
I'm just a liquor slave
I am a slave, a prisoner
I'm a slave
Just a liquor slave
Every night when I'm
Coming back home
My wife gets worried
'Cause she knows
Shes got double trouble
Coming home
Sometimes I cry
I cry lord I cry
But my crying
Never helps me
[Chorus: till fade]Now I'm a slave, a slave
I'm a slave
I'm a liquor slave
I'm a slave, a slave, slave
I'm a slave
Just a liquor slave