๐๐๐๐๐Ila mpo serious au maana Kuna ndugu yangu aliweka million mbili,alikuwa anafanya biashara ya wakala na mcheki Jana aniwekee 20k kaniambia kafunga biashara na Hana hela,asije akawa aliweka hela yote mpaka mtaji ๐ฅบ
Kuna vitu tunavijua baada ya tukio, sawa na mwambukusi bila bandari tulikua hatumjuiMkuu Ndio nimebidi niingie Google, nilikuwa sijui hii kitu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app