Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀Ila mpo serious au maana Kuna ndugu yangu aliweka million mbili,alikuwa anafanya biashara ya wakala na mcheki Jana aniwekee 20k kaniambia kafunga biashara na Hana hela,asije akawa aliweka hela yote mpaka mtaji 🥺
Kuna vitu tunavijua baada ya tukio, sawa na mwambukusi bila bandari tulikua hatumjuiMkuu Ndio nimebidi niingie Google, nilikuwa sijui hii kitu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app