Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela?

GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.

Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
 
Kumbe waliomba mwili ili wamkague?

Kuna mahala mila zetu zinatufanya tuonekane bado tupo gizani
Waafrika bhana!,sasa kukagua mwili kunatufanyaje tuonekane gizani?,Mbona Polisi na Waganga wa Mahospitalini wanakagua miili yetu tukiwa tumekufa na hatusemi chochote?.Waafrika ifike mahala tuache kuona km kila kinachofanywa kadiri ya taratibu za kiafrika ni ushamba,Kwa Taarifa yako hata Ulaya wana Mambo yao ya Kimila.Acha kumezwa na Ukoloni Mambo leo.
 
Kumbe waliomba mwili ili wamkague?

Kuna mahala mila zetu zinatufanya tuonekane bado tupo gizani
Usijitowe akili, heshimu mila za watu, hapo ni wapi wamesema wamkaguwe? Au unadhani wazungu hawana mila?
 
Attachments

  • IMG-20230513-WA0005.jpg
    IMG-20230513-WA0005.jpg
    74.6 KB · Views: 7
  • FB_IMG_1663646227679.jpg
    FB_IMG_1663646227679.jpg
    44 KB · Views: 3
Waafrika bhana!,sasa kukagua mwili kunatufanyaje tuonekane gizani?,Mbona Polisi na Waganga wa Mahospitalini wanakagua miili yetu tukiwa tumekufa na hatusemi chochote?.Waafrika ifike mahala tuache kuona km kila kinachofanywa kadiri ya taratibu za kiafrika ni ushamba,Kwa Taarifa yako hata Ulaya wana Mambo yao ya Kimila.Acha kumezwa na Ukoloni Mambo leo.
Jinga hilo, ubongo umejaa fungus.
 
Attachments

  • FB_IMG_1663646227679.jpg
    FB_IMG_1663646227679.jpg
    44 KB · Views: 3
Ile ilikuwa ni fursa kama fursa nyingine tu.

Wazee walikaa chini wakapiga mahesabu yao watapataje pesa kiulaini wakaja na wazo la 'traditional autopsy'. Lazima kuna fungu lilitengwa pale kwa ile shughuli. Wamekunja mtonyo wao, maisha yanaendelea.

Waswahili husema 'kufa kufaana', ndio hii sasa.
 
Ukiona turubai limehamia nyumba nyingine hayo ndio majibu ya swali lako.
kuna tukio moja nimewahi lishuhudia lilihusisha wazee wakubwa tu

mzee wa kwanza alikuwa na ugomvi wa mpaka na mzee jirani yake (mbibi) basi yule mzee akamfyatua mbibi
baada ya mwezi wakaja ndugu wa yule bibi na kusema alikuwa chief kwenye ukoo wao hivyo wakaomba kichwa wakazike (habari za mtaani zinasema mama alikatwa kichwa) ila wakasema kama kuna mtu kahusika na kifo atamfuata

ndani ya miezi 3 tulizika wazee wawili, alianza jirani yake waliokuwa na ugomvi akafata mzee kigagula haswa wa mtaan pale

haya mambo yapo sana
 
Kile kilichofanyika UK juzi Kati kumsimika mfalme sio Mila potofu, Mila potofu Ni kukagua mwili wa mpendwa wao.

Mbona wakuria mna Mila potofu za kuwapiga wake zenu na kuwafanya second class citizens lkn hatuwasemi? Je hii Mila yenu ya kuwakeketa watoto wenu wa kike na kuwanyima starehe pekee walio jaliwa na muumba sio potofu?

Charity begins at home.
 
Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye ( Marehemu Membe ) ni Chief ( Mtemi ) wa Kabila la Wamwela?

GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.

Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
Habari ya Rwanda Mkuu.
 
Uambiwe wewe kama nani wao?

Machifu wote wa Tanzania huwa unatangaziwa?
 
Waafrika bhana!,sasa kukagua mwili kunatufanyaje tuonekane gizani?,Mbona Polisi na Waganga wa Mahospitalini wanakagua miili yetu tukiwa tumekufa na hatusemi chochote?.Waafrika ifike mahala tuache kuona km kila kinachofanywa kadiri ya taratibu za kiafrika ni ushamba,Kwa Taarifa yako hata Ulaya wana Mambo yao ya Kimila.Acha kumezwa na Ukoloni Mambo leo.
NAKAZIA.
 
Majibu yanaonyesha kuna hanker aliingilia mfumo endeshi, ( operating system ) hivyo tumesha ruka nae, kaeni kwa kutulia
 
Back
Top Bottom