Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa alinyimwa ulaji na bwana Kachelo,..Brother GENTAMYCINE ni Nini kimekupata? Haukuwa hivi mwanzoni [emoji848]
Kufa kila siku watu wanakufa. Hapa kinachoombwa zaidi ni coincidence itokee mtu maarufu mwingine afe ama kutokee janga kubwa lenye mahusiano na marehemu watu watembee na upepo kuwa vya wazee vimejibu.suala bado liko chini ya uchunguzi na majibu yatarudi kwa vitendo
ukweli mchungu ni kwamba hakuna mfu atakaeweza kukusaidia regardless of majina gani utampatia. The sooner we learn that the better our lives will be. Huyo mzungu anaesema umuombe mtakatifu nani sijui yeye mwenyewe akiumwa anakimbilia hospitali, akiwa na shida pesa yake inamsaidia mpaka pale mauti yatakampomkuta.Hivi waafrica tutaacha lini kudharau tamaduni zetu?
Hivi wazungu watulazimishe Tumuombe Marehemu Mt. Antony wa Padua lakini nisimuombe babu yangu na wazee wengine waliotangulia mbele za haki? Tukaiombe mizimu ya wazungu lakini yetu hapana aisee. Nimekataa hili. Yaan wazungu wabaya sana. Kwamba hawatambiki? Ndo maana tunazidi kukwama
Whatever the case, but we should not accept that our culture is bad and evilukweli mchungu ni kwamba hakuna mfu atakaeweza kukusaidia regardless of majina gani utampatia. The sooner we learn that the better our lives will be. Huyo mzungu anaesema umuombe mtakatifu nani sijui yeye mwenyewe akiumwa anakimbilia hospitali, akiwa na shida pesa yake inamsaidia mpaka pale mauti yatakampomkuta.
Kikubwa ni kuamini unachokiamini na kutoshikwa kichwa na mpuuzi mmoja anaetaka kukuaminisha kile ambacho yeye mwenyewe pia hakiamini.
Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye ( Marehemu Membe ) ni Chief ( Mtemi ) wa Kabila la Wamwela?
GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.
Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
Wamkate nyama wakatambikie, ole wake aliyenyoosha mkono wake kwa marehemu.
Una uwezo mdogo sana wa kufikiria!Kumbe waliomba mwili ili wamkague?
Kuna mahala mila zetu zinatufanya tuonekane bado tupo gizani
wamepigwa na ganzi wote.. hayo mambo hayajaribiwiHalafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela?
GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.
Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
Wanamsubiri ndugu yako Musiba!Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela?
GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.
Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
sawa mzee wa RondoUna uwezo mdogo sana wa kufikiria!
Haya ni mambo yetu ya kimila sasa wewe kwa kuwa sio wa huku kaa kimya na utulieHalafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela?
GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.
Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
Wamasai wanakeketa, wanyaturu/wanyiramba wanakeketa. Wanawake wanapigwa karibu nchi nzimaKile kilichofanyika UK juzi Kati kumsimika mfalme sio Mila potofu, Mila potofu Ni kukagua mwili wa mpendwa wao.
Mbona wakuria mna Mila potofu za kuwapiga wake zenu na kuwafanya second class citizens lkn hatuwasemi? Je hii Mila yenu ya kuwakeketa watoto wenu wa kike na kuwanyima starehe pekee walio jaliwa na muumba sio potofu? Charity begins at home.
🤝Waafrika bhana!,sasa kukagua mwili kunatufanyaje tuonekane gizani?.Waafrika ifike mahala tuache kuona km kila kinachofanywa kadiri ya taratibu za kiafrika ni ushamba,