Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

Mkuu Genta mmeshamaliza msiba wa Uncle wako?? Shangazi na Bintiye mlikujawekana Sawa?? R.I.P Nim Mkono.
 
Hivi waafrica tutaacha lini kudharau tamaduni zetu?
Hivi wazungu watulazimishe Tumuombe Marehemu Mt. Antony wa Padua lakini nisimuombe babu yangu na wazee wengine waliotangulia mbele za haki? Tukaiombe mizimu ya wazungu lakini yetu hapana aisee. Nimekataa hili. Yaan wazungu wabaya sana. Kwamba hawatambiki? Ndo maana tunazidi kukwama
 
suala bado liko chini ya uchunguzi na majibu yatarudi kwa vitendo
Kufa kila siku watu wanakufa. Hapa kinachoombwa zaidi ni coincidence itokee mtu maarufu mwingine afe ama kutokee janga kubwa lenye mahusiano na marehemu watu watembee na upepo kuwa vya wazee vimejibu.

Ni vile Le Mutuz alikuwa irrelevant tu ila kama angekuwa na wadhifa wa maana na influence yenye tija wangesema mambo yamejibu.
 
ukweli mchungu ni kwamba hakuna mfu atakaeweza kukusaidia regardless of majina gani utampatia. The sooner we learn that the better our lives will be. Huyo mzungu anaesema umuombe mtakatifu nani sijui yeye mwenyewe akiumwa anakimbilia hospitali, akiwa na shida pesa yake inamsaidia mpaka pale mauti yatakampomkuta.

Kikubwa ni kuamini unachokiamini na kutoshikwa kichwa na mpuuzi mmoja anaetaka kukuaminisha kile ambacho yeye mwenyewe pia hakiamini.
 
Whatever the case, but we should not accept that our culture is bad and evil
 

Hivi kuwa mwanasiasa lazima uwe mganga au mchawi?
Nimesahau juu ya meza kile kidonge cha afya ya akili lakini
 
Labda walikua wanataka kukagua ili kufahamu kulikoni hili limemtokea mheshimiwa mjumbe ? maana " Watu wazuri hawafi", alisikika akipayuka babu yule wa milimani.
 
wamepigwa na ganzi wote.. hayo mambo hayajaribiwi
 
Wanamsubiri ndugu yako Musiba!
 
H
Haya ni mambo yetu ya kimila sasa wewe kwa kuwa sio wa huku kaa kimya na utulie
 
Wamasai wanakeketa, wanyaturu/wanyiramba wanakeketa. Wanawake wanapigwa karibu nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…