Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hii ishu juzi tuKwan mke mkubwa wa Hafidh alipewa pole ya msiba lini?
Wanadamu sisi hua tunawapa umuhimu wale waliojipata tuu F*K
Waje watujuze, kuna watu na kuna binadamuNgoja waje
Na hii inasababishwa na nini?Kwan mke mkubwa wa Hafidh alipewa pole ya msiba lini?
Wanadamu sisi hua tunawapa umuhimu wale waliojipata tuu F*K
Kama duniani tunatengana, na mbinguni itakuwa hivyohivyo?Hii ishu juzi tu
Nipo kule kwenu upareni wenye hela wanakumbatiwa vizuri ila sie makapuku unapewa mkono usijiskie vibaya
Mbinguni ni wapi?Kama duniani tunatengana, na mbinguni itakuwa hivyohivyo?
Kumbe imani zetu zinatudanganya?Mbinguni ni wapi?
Ulipata kusikia mazishi ya dereva wa ajali ya Salome Mbatia, aliovertake kwenye kona kuwawahi wanachama watiifuHatuwasikii kabisa, au walishazikwa tayari?
Wenye majibu watusaidie.
Nipo hapa kwenye kijiwe cha kahawa, tumekosa majibu.
Imebidi niutafute huo uzi..Ulipata kusikia mazishi ya dereva wa ajali ya Salome Mbatia
Dereva wa Salome MbatiaImebidi niutafute huo uzi..
Kamanda wa Polisi, anasema kwamba dereva alitoroka ama kutoroshwa na kwamba polisi hawajui yuko wapi na wanamtafuta??? Nadhani kesho watasema "wamempata" akiwa hajachubuka hata 'nywele'.... Je, atakua ni dereva yule yule aliyekuwamo katika tukio? Je, waliomtorosha (kutoroka) ni kina nani?
Hilo gari halikua lina overtake gari lolote bali lililifuata gari la mheshimiwa Mbatia....
Sumaye muda huo alikua amekwisha kupita eneo la ajali, nyuma ya mbatia alikua Zitto na Mathayo David Mathayo.. Zitto alifika enep la tukio takriban dakika tano. Inawezekana kabisa aliona kila kitu wakati ajali...
- Halisi
- Replies: 168
- Forum: Jukwaa la Siasa
Inafikirisha, kwa hiyo inawezekana wao hawakufa? Kwa sababu ata katika ukusanyaji wa mabaki, walitajwa marehemu wawili tuDereva wa Salome Mbatia
Wale wengine huchukuliwa kama si binadamu, kwenye ile ajali ya Salome Mbatia dereva wake pia alifariki lakini haijuilikani mwili wake ulirudishwaje kwao Iringa na mazishi yake yaligharamiwa na naniInafikirisha, kwa hiyo inawezekana wao hawakufa? Kwa sababu ata katika ukusanyaji wa mabaki, walitajwa marehemu wawili tu
Tatizo jamii tulishajijengea utaratibu wa kuthamini vitu/vyeo kuliko utu.Wale wengine huchukuliwa kama si binadamu, kwenye ile ajali ya Salome Mbatia dereva wake pia alifariki lakini haijuilikani mwili wake ulirudishwaje kwao Iringa na mazishi yake yaligharamiwa na nani
Mabaki yao yako wapi?Walitoweka kama wale wa Nagasaki na Hiroshima
Script ishaunguaHatuwasikii kabisa, au walishazikwa tayari?
Wenye majibu watusaidie.
Nipo hapa kwenye kijiwe cha kahawa, tumekosa majibu.
Ki vipi?Script ishaungua
Hakuna watu waliokufaKi vipi?