Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Dah hii ni hatari mkuu ndio wanaendesha ndinga kubwa kubwa na kumiliki uchumi.Huku mtaani wenye D mbili ndio wanakimbiza hatari.
Naona umeamua kujipa matumaini kidogo mkuu usije kufa na PTSD. Kwa sababu kukaa miaka 7 bila ajira tangu utunukiwe Shahada yako hiyo sio mchezo.Nyie wenye std 7 na form 4 na form 6 na diploma mna hali gani kwani?
Hizo hali mlizonazo ndiyo na sisi ivoivo tunazo...
Nature haijawahi kumuacha mtu salama, regardless ya elimu yako ila mwisho wa siku nature itawafanya muwe na tofauti ndogo sanaa
PTSD wanapataga watoto wa mama, watoto nyoronyoro.Naona umeamua kujipa matumaini kidogo mkuu usije kufa na PTSD. Kwa sababu kukaa miaka 7 bila ajira tangu utunukiwe Shahada yako hiyo sio mchezo.
Dah mkuu punguza jazba utapata ajira tuu ni suala la muda. Pia kumbuka bodi ya mkopo inakudai deni lake. Upate ajira usipate lazima ulipe.Pambana na maisha yako usifuatile ya wenzako utakuja kupakatwa
Endelea kupambana.PTSD wanapataga watoto wa mama, watoto nyoronyoro.
Akina siye tuliosoma "KWA SABABU ZIMO" wala hatupatagi shida.
Yani umesoma na kupata degree kwa sababu ya kupambana kivyako, siyo kwa sababu ya juhudi za wazazi.
Sisi huwa hatuna cha kupoteza..
Niko kwenye mfumo kitambo ila ulichoandika ni upumbavu sana mdogo wanguDah mkuu punguza jazba utapata ajira tuu ni suala la muda. Pia kumbuka bodi ya mkopo inakudai deni lake. Upate ajira usipate lazima ulipe.
Kumbe hadi wenye MA na MSc stress nazo zina waandama. Hii ni hatari.Sisi wenye Ma tunastresss balaaaaaaa
Hongera mkuu na wewe una hizo BSc, BA au nyingine kama hizi?Leo napokea connection ya kwenda jeshi wakuu ππππ
Ndio mkuu BSc in DCBEHongera mkuu na wewe una hizo BSc, BA au nyingine kama hizi?
Mkuu ni wapi nimewasema ambao hawajapata ajira?We makalio inaonekana umepata ajira basi unaona ambao hawajapata hawajui kuomba au washamba. Ukifunguliwa usije ukajiona mbora sanaa au umependelewa sana.
Nimekukoti kimakosa mkuu sorryMkuu ni wapi nimewasema ambao hawajapata ajira?
We makalio inaonekana umepata ajira basi unaona ambao hawajapata hawajui kuomba au washamba. Ukifunguliwa usije ukajiona mbora sanaa au umependelewa sana.Naona umeamua kujipa matumaini kidogo mkuu usije kufa na PTSD. Kwa sababu kukaa miaka 7 bila ajira tangu utunukiwe Shahada yako hiyo sio mchezo.