Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mbona imekuuma sana mkuu? Ningesema nalipwa laki sita haya makasiriko yote yangekuwepo acha roho ya kichawiUnavyojigamba ni kama Bongo nzima wewe ndio wakwanza kulipwa hela hiyo...
Nyie ndio mnachekelea mkisikia watumishi wana maisha magumu bahati mbaya mimi kibongo bongo nakunja parefu 3.5mil si haba