Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Unajitekenya na kucheka mwenyewe, wakati tecno yako unaweka bundle la buku halafu unalialia.

Lucas ana hoja ya msingi
 
Ni j

Ni kweli mkuu biashara ina hitaji ujasiri na nidhamu na ukifanikiwa unakuwa mbali.
Jamaa hawezi kutuelewa, na mbaya zaidi anafikiri ambao tumejiajiri wote hatujaenda shule kabisa. Tumeenda kwa sehemu na tumewahi kuajiriwa kwa sehemu ila kuna gap kubwa sana kati ya kujiajiri na kuajiriwa.
 
Wana mtizamo finyu, hata wakimkuta mtu yupo na biashara zake wanaleta dharau wakidhani kuwa hajasoma kumbe mtu kaamua kuchagua njia hiyo.
 
Hizi degree zenu za Bongo wala hazitambuliki kwanza, mimi naongelea watu wenye ujuzi wazungu wala hawaitaji vyeti, wanataka ujuzi wako tu.
Ujuzi ndio mtaji mkuu ndio maana vyuo vya nje vinatoa degree kwa recognition of prior learning.

Unakuta fundi gereji yupo vizuri hana maneno mengi kama hao wanaitwa Engineer ila anafanya kazi kwa vitendo na kazi ina onekana kitu ambacho hao wenye hizo degree hawawezi.
 
Ni kweli. Wahenga walisema Debe tupu haliishi kuvuma. Hao uliowataja hapo juu kama mfano; ukizingatia Deg. za siku hizi wengi ni za kuGoogle i.e. vijana wengi hawaumizi tena vichwa kusoma wala kuandika kwani anayo kompyuta-mpakato na anaweza kurekodi lecture nzima bila shida, anaweza kuomba notes kutoka sehemu nyingine, anaweza kufaulu kwa kuhonga "kile kitu cha kimasihara" n.k. n.k. yani Degree za siku hizi zinapatikana "At room temperature" . Kimbembe kinakuja sasa pale wakibahatisha ajira; kama ww ni mfuatiliaji Utabaki mdomo wazi kwa kile kiwango cha Huduma kitolewacho, wakifika huku mtaani ndo usiseme kabisa manake majigambo kwa wingi lakini mkononi amebeba bahasha ya khaki yenye CV + barua ya maombi, malalamiko kwa Serikali ndo usipime.
 
Majigambo mengi, mipango ya maneno mengi, bahasha ya kaki mkononi na mwisho anakuomba buku ya nauli.
 
Hizi degree zenu za Bongo wala hazitambuliki kwanza, mimi naongelea watu wenye ujuzi wazungu wala hawaitaji vyeti, wanataka ujuzi wako tu.
Imebidi tu nicheke, Sasa mkuu Jamaa anaeweka link za scholarship ulifatilia mambo yanayohitajika?. Kama hujapita form five na six, na huna degree yakwanza ambayo utakusaidia kupata recommendation letter ningumu kupata hata hizo scholarship.

Lakini pia Kuna makampuni yakizungu yapo humu bongo na yanaajiri watu wenye hizo degree ambazo kwako waona hazitambuliki.

Ujuzi nimuhimu sana, lakini huo ujuzi ukiwa na vyeti vya veta utalipwa kawaida. Na mwingine akiwa naujuzi kama wako na ana degree atalipwa mara 5 ya mshahara wako.
 
Aaaah Jamani! Kama Sh(Tzs) milioni 3 na Laki Tano inamfanya mtu ajigambe; hapo kuna shida.
Nihela nyingi kibongo bongo, na zaidi ya 80% ya watumishi wa uma hawapati huo mshahara, wengine mpaka wanafikisha miaka 30 ya utumishi Serikalini hawaugusi huo mshahara. kama kaupata na Yuko chini ya miaka 30 anaweza tengeneza vyanzo vya mapato nje ya huo mshahara akawa sio mwenzako.
 
Back
Top Bottom