Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Wana jamvi kwema,

Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.

Vipi mategemeo uliyo kuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imekusaidia angalau kwenye kujikwamua nje ya ajira, yaani kujiajiri au kutumia ujuzi wako ulio upata kutatua changamoto mbalimbali za maisha.

Asamaleko.
Binafsi BSc yangu imenisaidia sana. Nimeajiliwa na kujiajili at the same time...! ALEKOMSALAAMU
 
Nihela nyingi kibongo bongo, na zaidi ya 80% ya watumishi wa uma hawapati huo mshahara, wengine mpaka wanafikisha miaka 30 ya utumishi Serikalini hawaugusi huo mshahara. kama kaupata na Yuko chini ya miaka 30 anaweza tengeneza vyanzo vya mapato nje ya huo mshahara akawa sio mwenzako.
Ni pesa nyingi kwako na watu wenye level ya ufikiri kama wako.
 
Unakwenda chuo kupata knowledge ili utumike na mfumo then mfumo unakukataa, lazima uwe mwehu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena unasoma kwa bidii kweli kweli ukirudi mtaani mfumo unakuambia anza kujiajiri kwa kuuza maji barabarani n.k
 
Back
Top Bottom