Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mji umetuliaa kuanzia mjini hadi shamba lakini yaeleke kuna mambo makubwa sana yaendeleayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, yaaan we acha tu,, Tanga raha sanaa hasa haya mambo yetu heheheeh,,
Hahahaaa. Kweli vile atiiii.πππ, Bichwa langu linakua kuuuubwa kwa kauli yako hiyo murua na mujarabu kabisa Hajar
Hahahaaa. Basi usikohoe endelea kugugumia Sesten. ππHaswaaa nataka nikohoe na ile ya kupaliwa na maji
Ila sasa Kush anasema nayeye itampa hasira na mzuka wa kutaka kujua yaliyomo yamo? Ndio uoga wa kukohoa unaingia hapo sasaπππ
Ahsante sana bibieHahahaaa. Kweli vile atiiii.
ππππ
ππππππ lolaiseeh mkianza yale ya hadharani, wallah ntatamani yaliyomo
Ila kugugumia ukija kupaliwa dah, dunia nzima itajua kua ulikua wanywa maji kimyakimya..lakini kuna ubaya wakijua? Nadhanikila mtu hua anakunywa maji kukata kiu yakeHahahaaa. Basi usikohoe endelea kugugumia Sesten. ππ
Hee bado hujapungua na mazoezi yote yale!!ππππππ kaka waniuza.
Wataka nimvunje mgongo Sesten. πππππ
Hahahaaa. Lol.Hajar popote ulipo ukuje huku Kush kama katoa baraka flani hivi sijazielewaelewa, uje usaide kuchanganua na kufanya uchambuzi sanifu na upembuzi yakinifuππππππ
Kaka Wacha weeeee. [emoji85]mtafutataji sana Hajar,, mtoto wa pwani huyu,, anayaweza mahaba yote
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wapenda kuoga na maji ya hiliki eeee?Mashaallah,yale ya kuweka hiliki kwenye maji ya kuoga pia ayaweza?ππ
Naona kama safari ya Zingibar yanukianukia.......hivi panaitwaje pale tena? Pale karibia na Kamchapeni palee, kwa Mzee naniliu karibia na mskiti paleeHahahaaa. Lol.
Ndio uzielewe elewe sasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani hata ukiongeza na mdalasini kwangu maridhia tu Hajarπππ[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wapenda kuoga na maji ya hiliki eeee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kupaliwa itakuwa bahati mbaya.Ila kugugumia ukija kupaliwa dah, dunia nzima itajua kua ulikua wanywa maji kimyakimya..lakini kuna ubaya wakijua? Nadhanikila mtu hua anakunywa maji kukata kiu yake
Doooooh. Nipunguwe wapi. [emoji85] [emoji85]Hee bado hujapungua na mazoezi yote yale!!ππ
Kwa MABROOK [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Naona kama safari ya Zingibar yanukianukia.......hivi panaitwaje pale tena? Pale karibia na Kamchapeni palee, kwa Mzee naniliu karibia na mskiti palee
Ewaaaaaa, hapohapo kwa Mabrook, silali kwa kuiwaza safari ya huko ujueπKwa MABROOK [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaaa. Ukitoka hapo wanukia zaidi ya Chai.Yaani hata ukiongeza na mdalasini kwangu maridhia tu Hajarπππ
Halafu unaninywa eeh?Hahaaaa. Ukitoka hapo wanukia zaidi ya Chai.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]