Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Hahaaa. Ndio hapo sasa.

Hivyo na weye Sesten wataka ukohoe ili umdolishie Kaka Kush?
Haswaaa nataka nikohoe na ile ya kupaliwa na maji

Ila sasa Kush anasema nayeye itampa hasira na mzuka wa kutaka kujua yaliyomo yamo? Ndio uoga wa kukohoa unaingia hapo sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…