Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unadhani kitafuata nini wakati ulishakubali kuungwa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na mimi ntakua sipoi ntakua wamoto hivyohivyo hata kama hujaniweka ndani ya thermos 😉😉😉
 
Back
Top Bottom