1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #221
haswaaaaAlaaa, watu mameridhiana kwa kila kitu eeh? Wake kwa waume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haswaaaaAlaaa, watu mameridhiana kwa kila kitu eeh? Wake kwa waume
Safari hatua swahiba, na safari ya maili elfu moja huanza na hatua moja....ngoja nichekecheche hapa😀😀😀hii safari lini swahiba?
weka limao swahiba kabla mchuzi kupoa, , ukipoa nda yale mambo na pilipiliSafari hatua swahiba, na safari ya maili elfu moja huanza na hatua moja....ngoja nichekecheche hapa😀😀😀
tehe teh [emoji23]
Haka kaushauri haka naona kama kana meki sensi hakaaa😡, sijui nikafanyie kazi!!!?😀weka limao swahiba kabla mchuzi kupoa, , ukipoa nda yale mambo na pilipili
Kuna dalili yoyote umeiyona labda? Pengine kuna manyoya yameonekana pande hizo? Mi hata siamini🙂😀siamini yaani unapewa Sesten Zakazaka
shauri yako mi kuna siku hivi hivi njiwa alipeperuka,Haka kaushauri haka naona kama kana meki sensi hakaaa😡, sijui nikafanyie kazi!!!?😀
hizi chansi inabidi hata goli la kunawa unafunga,, ohooooHaka kaushauri haka naona kama kana meki sensi hakaaa😡, sijui nikafanyie kazi!!!?😀
Kumbe naibiwa hivi [emoji848][emoji848][emoji848],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka waniuza.
Wataka nimvunje mgongo Sesten. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu veepeeeer [emoji23]Kumbe naibiwa hivi [emoji848][emoji848][emoji848],
Mambo gani haya ya kuvunjana migongo?
Ivoo, waweza kuremba akatokea beki kusipojulikana akaosha kwenye mstari wa goli, ukabaki aiiiyyaaaaaahizi chansi inabidi hata goli la kunawa unafunga,, ohoooo
kizuri kula na nduguyoKumbe naibiwa hivi [emoji848][emoji848][emoji848],
Mambo gani haya ya kuvunjana migongo?
Hakika nitakufa mie,[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wapenda kuoga na maji ya hiliki eeee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Lolhahahahh tafadhal usimvunje,, mpigie miondoko ya baikoko[emoji23] wala sikuhuzi ni kautaratibu tu
Sheikh kuna vya ku share kaka, huku ni kutafutana uhasama!!kizuri kula na nduguyo
si unamuona huyo general mangi yuko namuona kwa sitemirrorIvoo, waweza kuremba akatokea beki kusipojulikana akaosha kwenye mstari wa goli, ukabaki aiiiyyaaaaaa
Kaka naona mazungumzo ya chumbani kabisa tena na Nke ya ntu.mkuu veepeeeer [emoji23]
unaibiwa- raymond
mkuu ushatoa posa [emoji23]Hakika nitakufa mie,