sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Ndevu bila pesa ni uchafu.Mwanaume ni ndevu mengine ziada tuuuu. Ka huna ndevu sioni tofauti yake na demu na ujue sasa hivi wapo mademu wana ndevu za haja
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndevu bila pesa ni uchafu.Mwanaume ni ndevu mengine ziada tuuuu. Ka huna ndevu sioni tofauti yake na demu na ujue sasa hivi wapo mademu wana ndevu za haja
nakuunga na mguu kabisaaKuna jamaa hapa anasema mwanaume asiye na ndevu hana Tofauti na mwanamke asiye na chura
ziwe safi tu haijalshi urefu wakeNdevu zinyolewe vizuuuri, ziwe fupiii.
Kama za yule bwana ake Gigy Money?!! Aah bora uwe huna tu
haupend ziwe ndefu?Kama za yule bwana ake Gigy Money?!! Aah bora uwe huna tu
Sipendi
Hapana aisee, Pesa bila ndevu ni usoro
Weka tuzioneKama za yule bwana ake Gigy Money?!! Aah bora uwe huna tu