Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

sasa ndoa ya namna hiyo ni ya kazi gani? why stay? ndoa ni Upendo, Heshima, Amani na Furaha ya pamoja, sasa inapofikia stage ya kusema najipa furaha mwenyewe hiyo si ndoa tena, kwanini usitoke ukaanze upya na kuwa really happy
 
Tunashukuru KWA kufunga mwaka kwa ujumbe mzuri ,

Mahusiano yamekuwa Fragile Sana ,dakika mbili mtu ameanza kuchepuka,
Watu wameolewa/wameoa kazi zao
Watu wameolewa na simu zao

Katika ulimwengu huu ambao mawasiliano yamerahishishwa Ukiwa kichwa Nazi lazima usumbuke Sana ,maana haihitaji nguvu kubwa Sana kubadili mahusiano,mipango na mitongozo yote inafanyika kwa simu,watu wanakutana kwenye nyumba za wageni kumalizia mipango iliyoanza kwenye simu.

Mtu anaweza kutongozwa kwa simu/Sms mbele ya mume wake
Mume anaweza kutongoza kwa simu mke akiwa pembeni

Vishawishi vyote viko kiganjani ,wala haviko mtaa wa pili

Ni wewe na Mungu wako .
Tuendelee kunawa kwa maji tiririka.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
mambo magumu sana siku hizi!!!
 
Kwa hiyo unawakejeli siyo?!

Unawadhihaki?

Kwani wewe ni mchepuko?

Kwa hiyo maisha hayo ya kuchepuka umeridhika nayo?

Kimfaacho mtu chake @ Dada!
 
Hilo la maji tiririka ndio la msingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
sasa ndoa ya namna hiyo ni ya kazi gani? why stay? ndoa ni Upendo, Heshima, Amani na Furaha ya pamoja, sasa inapofikia stage ya kusema najipa furaha mwenyewe hiyo si ndoa tena, kwanini usitoke ukaanze upya na kuwa really happy
You are so wrong just like many others.

Huwezi mtegemea mwenzio awe bf, fiancee au hata mume akupe furaha.

Furaha yako ni uamuzi wako, unless hujaelewa nilichokiandika.
 
Read and understand what I wrote.

Not once did I mention self love.

Then come back and we can argue all day.
 
Toeni vitisho hata mtuvunje taya ila kwenye ndoa tutaingia tu ni bora tunyenyuke tunapoanguka kuliko kushindwa kunyenyuka tuangukapo,
Nitaachwa nitasalitiwa ila kuna siku nitampata mnyonge wangu, 2022 ๐๐š๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐š ๐”๐ค๐ข๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐ค๐ž ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐ž ๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐Ÿ๐š๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ฒ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐Ÿ๐ฎ๐ซ๐š๐ก๐š ๐ง๐š๐ฆ๐ข ๐ง๐ข๐ฌ๐š๐ก๐š๐ฎ ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐š๐œ๐ก๐ฐ๐š,
๐‡๐ข๐ฅ๐จ ๐ง๐๐จ ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐š๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐š๐ง๐ ๐ฎ
 
Mjuba unaachwaga tu๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ