Tunashukuru KWA kufunga mwaka kwa ujumbe mzuri ,
Mahusiano yamekuwa Fragile Sana ,dakika mbili mtu ameanza kuchepuka,
Watu wameolewa/wameoa kazi zao
Watu wameolewa na simu zao
Katika ulimwengu huu ambao mawasiliano yamerahishishwa Ukiwa kichwa Nazi lazima usumbuke Sana ,maana haihitaji nguvu kubwa Sana kubadili mahusiano,mipango na mitongozo yote inafanyika kwa simu,watu wanakutana kwenye nyumba za wageni kumalizia mipango iliyoanza kwenye simu.
Mtu anaweza kutongozwa kwa simu/Sms mbele ya mume wake
Mume anaweza kutongoza kwa simu mke akiwa pembeni
Vishawishi vyote viko kiganjani ,wala haviko mtaa wa pili
Ni wewe na Mungu wako .
Tuendelee kunawa kwa maji tiririka.
Sent from my TECNO BA2 using
JamiiForums mobile app