Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

Mkuu umesahau Jf kila mtu anajua, tena wanajua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipe link
 
Rafiki yangu kafilisiwa hela alizokopa kwenye hayo mambo ya FOREX kawa kama zezeta

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakusoma walipoandika trade the money u can afford to lose pia don't trade on borrowed money?hii sio biashara ya maskini,km huna kazi na unataka ufanye Forex bora utafute kazi kwanza then utrade kupitia hiyo pesa ya ziada,kuna watu walitrade pesa za ada za watoto wakala za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…