Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mkuu umesahau Jf kila mtu anajua, tena wanajua kila kituNimegundua kitu kimoja kila ikija mada ya kuekeza utaona watu wanaishupalia. Lakini njia namba 1 inayomtoa mtu kimaisha ni uwekezaji kwenye stock market. Nipo kwenye group moja ya Discord kiongozi wa hii group, ametengeneza 1 million kwa miezi 9 tu lakini goli lake ilikuwa miezi 10. Sijui kuhusu forex lakini pia cryptocurrency inaweza kukutoa kimaisha vizuri tu. Bila kusahau usijiingize kwenye uwekezaji bila ya kusoma na kufanya research yako mwenyewe, sio kufata mkumbo na maneno ya mtu tu.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app