Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

yan we umeshindwa kutrade unataka utajirike kupitia commission, type ya watu kama nyie ndo mnao danga kwenye forex
 
Mimi mwenyewe nina discord. Hilo group ulijiunga kutoka reddit?
 
Kama una link ya hilo group kama Inawezekana kunitumia ningeshukuru sana
Sorry kwa kuchelewa kujibu mapema nilikuwa busy, hizi link za group 3 tofauti mimi ndio nimo kwa miaka sasa.
 
Nakushukuru sana kaka... Ubarikiwe mpaka ushangae
 
Mkuu kama hutojali..hzo link ni kwa ajili ya stocks au forex?
Ukiingia kwenye hizi group kuna vyumba tofauti hicho cha main floor ni stockmarket tu. Lakini options na forex pia zipo. Na kuna chumba cha maswali tu kiufupi ukiingia utajifunza mengi jipe muda tu.
 
Ukiingia kwenye hizi group kuna vyumba tofauti hicho cha main floor ni stockmarket tu. Lakini options na forex pia zipo. Na kuna chumba cha maswali tu kiufupi ukiingia utajifunza mengi jipe muda tu.

Poa ....thx for a reply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…