Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

Hakusoma walipoandika trade the money u can afford to lose pia don't trade on borrowed money?hii sio biashara ya maskini,km huna kazi na unataka ufanye Forex bora utafute kazi kwanza then utrade kupitia hiyo pesa ya ziada,kuna watu walitrade pesa za ada za watoto wakala za uso.
Mkuu biashara yoyote ile hufanywa kwakutumia ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa

Fx_Money Makers
 
1mil USD au tsh? Kama 1mil tsh kwa miezi 9 huyo mtu aache uzwazwa akatafute kazi za msingi za kufanya.
Nimegundua kitu kimoja kila ikija mada ya kuekeza utaona watu wanaishupalia. Lakini njia namba 1 inayomtoa mtu kimaisha ni uwekezaji kwenye stock market. Nipo kwenye group moja ya Discord kiongozi wa hii group, ametengeneza 1 million kwa miezi 9 tu lakini goli lake ilikuwa miezi 10. Sijui kuhusu forex lakini pia cryptocurrency inaweza kukutoa kimaisha vizuri tu. Bila kusahau usijiingize kwenye uwekezaji bila ya kusoma na kufanya research yako mwenyewe, sio kufata mkumbo na maneno ya mtu tu.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Founder wa forex wa JF aliewaliza wengi![emoji1][emoji1][emoji1]
Someone%20is%20out%20there%2C%20celebrating%20his%20first%20%241%2C000%20a%20day%20this%20yr%...jpeg
 
Mpango wangu ndo huo wa kuanza na dola 100
Watu hawataki tu kujifunza,wanataka kupiga hela chap chap ila nakuambia ukiwa serious unaweza anza na $100 (230,000/=) na ukafanya wonders japo wakongwe wanaanza hata na $10 na wanatoboa mpaka $1000 kwa mda mfupi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua kitu kimoja kila ikija mada ya kuekeza utaona watu wanaishupalia. Lakini njia namba 1 inayomtoa mtu kimaisha ni uwekezaji kwenye stock market. Nipo kwenye group moja ya Discord kiongozi wa hii group, ametengeneza 1 million kwa miezi 9 tu lakini goli lake ilikuwa miezi 10. Sijui kuhusu forex lakini pia cryptocurrency inaweza kukutoa kimaisha vizuri tu. Bila kusahau usijiingize kwenye uwekezaji bila ya kusoma na kufanya research yako mwenyewe, sio kufata mkumbo na maneno ya mtu tu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
1 miliion madafu au $USD??
 
Back
Top Bottom