Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Afadhali wewe, mimi hata Akishika machine itasimama lakini tendo nagoma kama nimeamua naweza kujicontrol kwa hali yoyote ile
Kipindi kile nakumbuka hata mkojo ukikojoa ulikuwa unaruka mbali kweli😀😀...
Haukua mtu poa kwa hali hiyo
 
Oooh So sad
 
Huo ndio uwanaume sasa. Ongera sana
 
Nakazia, kumlazimisha mtu kufanya chochote bila ridhaa yake ni ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia,sio uwanaume.
 
Watu wana roho ngumu sana Mkuu
Mkuu kuna vitu humfanya mtu asijiamini hivyo kuokoteza kila kitu mbele yake;
1. Umasikini
2. Umasikini
3. Umasikini
Huondoa kujiamini kumiliki mrembo au mke bora...hivyo huona kila fursa ndio mda sahihi wa kukipata anachotamani...

Mwanaume mwenye akili, anayejiamini hawezi kufanya ngono holela na za kuongopea msichana eti njoo uchukulie pesa geto ili akija wasex...kweli?

Pili kuna mtu akiombwa vijisenti na msichana anaona nayo ni fursa...huuu ni ulimbukeni.

Sex ni sawa na ibada, inahitaji ridhaa pande zote, maandalizi mazuri, mazingira tulivu yasiyo na hofu wala stress...
Nakuhakikishia mtafurahia na hata msichana atazidi kukuheshimu.

Sio dada wa watu kufika tu geto na kubakwamo mule daah.
 
Uko sahihi kabisa Mkuu.
 
Tena hamuachi hata apumzike, yeye kinachozunguka kichwan kwake mi sex sex sex sex Ndio hawa wanaume wanaowapa mimba vichaa hawana tofauti kabisa
 
Tabia za kinyama kabisa, hufanywa na wanaume wa kiafrika, Eti oyaa yule mazi alivyoingia nikatupa ufunguo ufunguni hapo anajiona mwamba dah[emoji28]
Unasikia raha gani kusex na mtu asiye na feeling kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…