The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
PoleAaah wewe tulia si umejoin juzi tu hapa kabla ya kugeuza mwaka?
Subiri upita pite humu, utajua hujui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleAaah wewe tulia si umejoin juzi tu hapa kabla ya kugeuza mwaka?
Subiri upita pite humu, utajua hujui.
Ngoja nisome hiki kichekesho kwanzaSoma kwanza halafu utoe ushuhuda basi
Ntasoma comment
😂Isipokuwa umuhimu wa mwanamke ukimpenda trust me, Ukiwa na stress au mawazo ukiwa nae utasikia afueniHayo unayosema sijui kama ndivyo ilivyo ila mimi binafsi sio tuu mke bali mwanamke yeyote hawezi kunizingua kwa kitobo chake..
Sijui ni ugonjwa au ni vipi ila kukaa mwezi 1 plus bila ku sex ni kawaida na sitaki mtu anilazimishe.
Faida niliyoiona ni kutobabaishwa na mwanamke awe mke au mchepuko..
Hasara ni kwamba imenipunguzia kuona umuhimu wa mwanamke.
Sipendagi mwanamke mimi, huwa nikimaliza mambo yangu tusijuane😂Isipokuwa umuhimu wa mwanamke ukimpenda trust me, Ukiwa na stress au mawazo ukiwa nae utasikia afueni
Mkuu Wapakate story yako na yangu nahisi inataka kuendana kidogo, Mimi nimewahi kumpenda demu mmoja wa kichagga ilikuwa ni muda kidogo.Mimi natakiwe nipewe tuzo maana nililala na demu siku tano anakataa kunipa mzigo,
Hizo siku tano namaanisha nipo nae geto masaa 24 maana tulikuwa hatutoki, nikitoka Ni chap kwa haraka nanunua vyakula anapika tunakula tunapumzika kitandani Tena geto hamna hata TV,
Vingine vyote hakatai ila mzigo ndo hatoi bas bana siku ya tano nikamsindikiza akaenda kwao.
Alivofika ananambia Mimi ndo mzembe nilikuwa maana yeye kutoa mzigo hua ni purukushani Kama vita kitandani Kung Fu
Bas na Mimi hua sifosi mwanamke ambae hataki,
Bas bana akanambia next time nifosi na yeye akiwa analeta purukushani zake atakuwa anamaanisha anataka,
Bas bana siku ilivofika tena nikapanga sifosi mtu asiponipa mzigo poa tu, siku ilivofika ndo Kwanza hata sikutaka mzigo maana nilijua sitaweza vita akashangaa Mimi Wala Sina harakati za kutaka mzigo akanambia vipi? Nikamwambia Kama hutoi mzigo willingly na leo utaondoka Kama zile ziku tano.
Nikashangaa yeye ndo kashusha track yangu na boxer kwapamoja halafu kadaka naniliu Kama kipa haikutokea akanipa yote bila Kung Fu zakee.
🤣Mkuu Wapakate story yako na yangu nahisi inataka kuendana kidogo, Mimi nimewahi kumpenda demu mmoja wa kichagga ilikuwa ni muda kidogo
Kwanza huyu mrembo alikuwa anaishi kwa dada yake ghafla dada ake akapata safari akamuacha peke yake, sasa ilikuwa hivi mimi nikawa naingia ndani tunakaa wote siku nzima mpaka usiku tukiangalia muvi na kucheza magemu lakin linapokuja suala la kusex akawa ni mkali balaa kiasi cha kufikia kutaka tukosane, Nakumbuka tulikuwa tumeonana kwa kipind cha wiki mbili hivi ikatokea siku uvumilivu umenishinda yeye aliingia bafuni kuoga akaniacha sebuleni naangalia Tv ile ametoka tu kuoga nikamfata ili nione msimamo wake
Aliniletea kungfuu za kutosha kidogo tuvunje mlango[emoji16][emoji16], basi kimoyomoyo nikajisemea isiwe kesi nikarudi sebuleni nikamsubiri amalize kuvaa nguo alivyokuja sebuleni nikamuomba msamaha yakaisha
Sasa siku moja ilikuwa ni sikukuu nikamuomba tutoke wote ili tukarefresh kidogo na kubadilisha mazingira akakubali
Tukaenda kiwanja flani tukajiachia mimi nikawa napiga pombe lakin yeye akawa hanywi, tulivyomaliza akaniomba nimsindikize kwao kwa vile kuna chakula alikiandaa.
Tukaenda mm nikiwa nipo tungi kidogo mpk nyumban tukala ile nataka niende kulaa home akaniambia usiondoke ulale hapa, nikakubali huku moyoni nikifurahi
Kilichofuata hapo ni kama Tanesco walijua mi ntauaaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N950U1 using JamiiForums mobile app
aah mzee siku tano.. unalala na kitobo ndani hukigusi [emoji31][emoji31]Mimi natakiwe nipewe tuzo maana nililala na demu siku tano anakataa kunipa mzigo,
Hizo siku tano namaanisha nipo nae geto masaa 24 maana tulikuwa hatutoki, nikitoka Ni chap kwa haraka nanunua vyakula anapika tunakula tunapumzika kitandani Tena geto hamna hata TV,
Vingine vyote hakatai ila mzigo ndo hatoi bas bana siku ya tano nikamsindikiza akaenda kwao.
Alivofika ananambia Mimi ndo mzembe nilikuwa maana yeye kutoa mzigo hua ni purukushani Kama vita kitandani Kung Fu
Bas na Mimi hua sifosi mwanamke ambae hataki,
Bas bana akanambia next time nifosi na yeye akiwa analeta purukushani zake atakuwa anamaanisha anataka,
Bas bana siku ilivofika tena nikapanga sifosi mtu asiponipa mzigo poa tu, siku ilivofika ndo Kwanza hata sikutaka mzigo maana nilijua sitaweza vita akashangaa Mimi Wala Sina harakati za kutaka mzigo akanambia vipi? Nikamwambia Kama hutoi mzigo willingly na leo utaondoka Kama zile ziku tano.
Nikashangaa yeye ndo kashusha track yangu na boxer kwapamoja halafu kadaka naniliu Kama kipa haikutokea akanipa yote bila Kung Fu zakee.
Ana roho ya paka huyu mtu😆aah mzee suku tano.. unalala na kitobo ndani hukigusi [emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwanini?Aaah wewe tulia si umejoin juzi tu hapa kabla ya kugeuza mwaka?
Subiri upita pite humu, utajua hujui.
Hii iko poa sana, purukushani zanini?Mimi natakiwe nipewe tuzo maana nililala na demu siku tano anakataa kunipa mzigo,
Hizo siku tano namaanisha nipo nae geto masaa 24 maana tulikuwa hatutoki, nikitoka Ni chap kwa haraka nanunua vyakula anapika tunakula tunapumzika kitandani Tena geto hamna hata TV,
Vingine vyote hakatai ila mzigo ndo hatoi bas bana siku ya tano nikamsindikiza akaenda kwao.
Alivofika ananambia Mimi ndo mzembe nilikuwa maana yeye kutoa mzigo hua ni purukushani Kama vita kitandani Kung Fu
Bas na Mimi hua sifosi mwanamke ambae hataki,
Bas bana akanambia next time nifosi na yeye akiwa analeta purukushani zake atakuwa anamaanisha anataka,
Bas bana siku ilivofika tena nikapanga sifosi mtu asiponipa mzigo poa tu, siku ilivofika ndo Kwanza hata sikutaka mzigo maana nilijua sitaweza vita akashangaa Mimi Wala Sina harakati za kutaka mzigo akanambia vipi? Nikamwambia Kama hutoi mzigo willingly na leo utaondoka Kama zile ziku tano.
Nikashangaa yeye ndo kashusha track yangu na boxer kwapamoja halafu kadaka naniliu Kama kipa haikutokea akanipa yote bila Kung Fu zakee.
Hamna watamletea story zao za kupiga mashine mpaka atajishangaa.Hahaha kwanini?
Kuwa watamwambia jogoo hawiki?
Kisukari kitakua kinamsumbuaKwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.
Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.
Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.
Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.
Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
Labda kisukari cha zuchu😆Kisukari kitakua kinamsumbua
Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.
1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.
2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.
3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.
...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.
Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]

Hivi ndivyo inatakiwa iweMimi kwanza nakuwaga tofauti kidogo, hata nikikutana na pisi kali namna gani sinaga utaratibu wa kuanza mazungumzo au kuomba namba ila natengeneza mazingira ya yeye kuona ni muhimu kuchukua namba yangu au kuwa na mazungumzo na mimi baada ya hapo.