Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Kuna dada mmoja chotara wa kikaburu na kihehe, aliiuwa mshirika kibiashara, kwa kweli alikuwa na kila sifa.
Pamoja na kuumbika kwake haikunifanya nimtake kwani nilijua fika biashara na mapenzi haviendani.
Kuna wakati tulisafiri pamoja kwenda Nairobi.

Lazima nijione ndani kwako [emoji1621]
 
Sifa mojawapo ya mwanaume ni kuweza kuhimili na kujizuia.

Kama unahisi mwanaume kujizuia na kuwa in ctrl na hisia zake ni "ushoga" then i dont know what to tell you!
Unakubalije kulala na mwanamke sio ndugu yako?
 
Sifa mojawapo ya mwanaume ni kuweza kuhimili na kujizuia.

Kama unahisi mwanaume kujizuia na kuwa in ctrl na hisia zake ni "ushoga" then i dont know what to tell you!
Hao ndio wabakaji, watamanipo mwanamke hawawezi kujizuia
 
Last year nlisafiri kwenda mkoa wa jirani kwenye harakati za maisha nika mtaarifu jamaa yangu mmoja tulisoma wote kua nipo maeneo hayo akaniambia amefungua pub nikipata time niende nikapate bia kadhaa na kitimoto, basi mida ya night nikasogea maeneo yale palikua pame changamka kinoma nakagonga vyombo vya kutosha, mmoja wa wahudumu pale akanzisha mazoea na mimi mara nmununulie bia nikamwambia kunywa kadri uwezavyo mida ya saa sita na dakika kadhaa hivi wakaja police kutuondoa ( ile pub haina kibali cha kukesha) nlivyo taka kuondoka yule mhudumu akasema ataenda kulala na mimi nisimuache ilikua pisi kali kinoma tukaondoka zetu tukaenda kunywa sehemu nyingine mpaka mida ya saa tisa hivi nikamuchukua demu mpka lodge tumefika demu amezima nlicho fanya nikamvua nguo nikamtupa kitandani akalala mpka asubuhi.

Alivyo amka hakuamini kama ningeweza kulala nae bila kumfaya kitu asubuh tukaenda kupata supu nikampa posho yake nikaondoka zangu., baada ya wiki kadhaa yule demu alikuja nnapo ishi akanipa papuchi bila shuruti. Hua najiuliza mtu ane baka hisia anazitoa wapi
c6adb79e55584458b7b79521553ebd79.jpg
 
Last year nlisafiri kwenda mkoa wa jirani kwenye harakati za maisha nika mtaarifu jamaa yangu mmoja tulisoma wote kua nipo maeneo hayo akaniambia amefungua pub nikipata time niende nikapate bia kadhaa na kitimoto, basi mida ya night nikasogea maeneo yale palikua pame changamka kinoma nakagonga vyombo vya kutosha, mmoja wa wahudumu pale akanzisha mazoea na mimi mara nmununulie bia nikamwambia kunywa kadri uwezavyo mida ya saa sita na dakika kadhaa hivi wakaja police kutuondoa ( ile pub haina kibali cha kukesha) nlivyo taka kuondoka yule mhudumu akasema ataenda kulala na mimi nisimuache ilikua pisi kali kinoma tukaondoka zetu tukaenda kunywa sehemu nyingine mpaka mida ya saa tisa hivi nikamuchukua demu mpka lodge tumefika demu amezima nlicho fanya nikamvua nguo nikamtupa kitandani akalala mpka asubuhi.
Alivyo amka hakuamini kama ningeweza kulala nae bila kumfaya kitu asubuh tukaenda kupata supu nikampa posho yake nikaondoka zangu., baada ya wiki kadhaa yule demu alikuja nnapo ishi akanipa papuchi bila shuruti. Hua najiuliza mtu ane baka hisia anazitoa wapiView attachment 2128284
Kuna watu Nyaya kichwani zilishaliwa na panya, Mtu anapitia kichaaa sembuse mtu mzima, Hapo ndipo utajua watu tuko tofauti sana kuliko tunavyoonekana nje.

Pia Nchi zilizoendelea kama USA hurusiwi kumpitia mwanamke kama Kazima, akiamka akakuta umempitia bila Ridhaa yake ni kesi kubwa kabisa, Inabidi umpige akiwa na akili zake ili kuepusha mambo mengi tena kwa sisi wageni ni risk sana bora wao kwa wao.
 
Inshort ni ulimbukeni wa utelezi to the point of losing your control.. ukiwa na self control sio kwenye papuchi tu, hata kwenye pesa ndo utakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuvipata kwa wingi…

Mwanamke ukimuonyesha kwamba hauwezi kulose self control yako over her papuchi atakuheshimu zaidi kuliko akukute unaweza kubaka maana una nguvu kuliko yeye[emoji37][emoji37]..

Nazungumzia kubaka ile unaforce ng’aing’ai haina kiss wala romance ..

Kuna tofauti ya kubaka na ile kukataa ya kimahaba ambayo demu anatoa visingizio visivyo na kichwa wala miguu, hiyo unamsaidia tu kumvua [emoji1][emoji16]..
 
Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.

Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.

Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.

Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.

Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
Mkuu umemaliza kila kitu, hii mbinu nimewahi kuitumia mara kadhaa kwa mabinti tofauti, kiufupi wengi wao walikuwa wanarudi wenyewe na kunipa mbunye niichakate vizuri.....na walikuwa wakirudi nawaachia alama kama alivoiacha Ronaldo pale Bernabeu.
 
Ni kuwa kama BUGATTI CHIRON SUPER SPORT huitaji kuwa mbele kwenye mstari, unaitaji kuwa miongoni mwa wanaosubiri mashindano kuanza.
 
Back
Top Bottom