NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
- Thread starter
- #161
Ni akili za UsikuHata binti kuja kwako na kuondoka bila kumgusa nayo ni hekima na uungwana tu.Mentality ya kuwa et akiingia tu hatoki si sawa na si ustaarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni akili za UsikuHata binti kuja kwako na kuondoka bila kumgusa nayo ni hekima na uungwana tu.Mentality ya kuwa et akiingia tu hatoki si sawa na si ustaarabu.
Huyo alikuwa kichwa kibovu, Hiyo ni heshima kwake na ulimthamini. Kama hakujua hilo basi anashida.Kuna demu kipindi fulan alitia huu mageto, dem amevaa kimahabahaba, sasa nikajitia Mtakatifu.
Dem fulu kunitega lkn najifanya mbishi.
Baadae akaondoka , Hakuwahi kurudi tena .
Tokea hapo, mkutano na demu wowote kama ni wa Mara ya kwanza, lazima NIMLE.
Hela utatoa hata kwa rafiki sio mwanamke tuMwisho wa siku si unatoa hela mkuu???
Yaan wee ushoga umekukaa sana moyoni, mda wote huishi kuutaja lolUzi wa mashoga huu mkuu hautuhusu,eti ulale na demu usimle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya Matusi yalejaleja, Hii ni psychology tu sio Upunga.
Wabongo nawagawa buree, wako ni ngono tyuuh, ndo maana wengi wao
Wanawake hawako salama sana kukaaa au kuzoeana na wanaume wa kibongoWabongo nawagawa buree, wako ni ngono tyuuh, ndo maana wengi wao wana magonjwa hatarishi. Msieeeeew
alafu unajiona mjanja. siku nyingine ukiwa hutaki sex usikubali kwenda kwa mwanaumeMimi niliwahi muacha mwanaume kwa sababu hiyo ya kung'ang'ania.Ile siku anasema leo nataka uje ukujue nyumbani kwangu nikakubali kwa moyo mmoja lakini kwa sababu ya story kama za watu wengine humu kwenye hii thread nikamwambia kabisa no sex na namaanisha hilo,naye akaapa viapo vyote kwamba ni kuchill na kuvibe tu hatutafanya chochote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ile nimefika na kukaa tu hata mwili haujapoa
Ungechoma moto mipira yake😄Mimi niliwahi muacha mwanaume kwa sababu hiyo ya kung'ang'ania.Ile siku anasema leo nataka uje ukujue nyumbani kwangu nikakubali kwa moyo mmoja lakini kwa sababu ya story kama za watu wengine humu kwenye hii thread nikamwambia kabisa no sex na namaanisha hilo,naye akaapa viapo
🤣🤣Huu ndio Uzi wa kula kimasihara Sasa sio ule mwingine...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukiwemo na wewe katekistaUkute humu wanachart ma padri na wachungaji tu,
Weka picha ya huyo demu, ukute sura yake ilikuwa inafanana na Meddy Kagere [emoji23][emoji23]Kuna demu kipindi fulan alitia huu mageto, dem amevaa kimahabahaba, sasa nikajitia Mtakatifu.
Dem fulu kunitega lkn najifanya mbishi.
Baadae akaondoka , Hakuwahi kurudi tena .
Tokea hapo, mkutano na demu wowote kama ni wa Mara ya kwanza, lazima NIMLE.
Me akija kwangu kuna uwezekano akatoka salama,ila kulala kwangu ndo hapo naona ni mazingaombweUkiwemo na wewe katekista
Bora wee uwape Elimu hiyo lol.Wanawake hawako salama sana kukaaa au kuzoeana na wanaume wa kibongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungechoma moto mipira yake[emoji1]