Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu acha tu kuna mmoja alikuja kwangu alikuwa modo hatari chuchu mchongoma yani dah shetani ashindwe na alegee yani sijui nisemeje ila dah embu tuyaache
Ulipiga miti mzee??
 
Yani unasoma comment ya mtu unabaki heeee!!
 
Umemaliza mrembo.

Mwaka huu hupandi kileleni ?
 
We ni mke kwelikweli aisee hongera sana napousoma mwandiko wako ni umejaa mapenzi mazito kwa mumeo pamoja na ukivuruge wake bado unasimama kumtetea kwa mapenzi,,
 
Shida yenu wamama mnaingia kwenye Ndoa na kasumba za kuwatenga ndugu za wayne zenu.

Dawa ndogo. Sana tafuta ndugu za Mumeo wa kike kaa nao hapo, nyumbani kwa upendo wote. Huu ni mwarobaini wa Moja kwa Moja.

Wengi wamefanikiwa Moja kwa moja
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Pole
 
Cool down !
 
Unamtafuna house girl..kujisahau hadi mimba...wa kwanza wa pili watatu..wanaume shikamooni.

Mimi house girl hapana sina kifua cha kuhimili hekaheka za namna hiyo.

Hahaha, hatari sana. Mke wangu alishakataa house girl.
 
Nyie wamama mnaokataa house gal, mkiwa na vichanga shughuli zitaendaje hapo nyumbani?
Manake mna wajaza wenzenu upepo tuu hapa, mtu anakataa H/g na ana kichanga.
 
We mwenzio familia yake ina furaha,yeye na mumewe wana furaha.
Mambo yao safi kabisa.
Hata hawagombani, huwa anamuuliza polepole faraghani huko.
Wanatimua dada,maisha yanaendelea.
Ndugu na marafiki wanawaomba ushauri.

She is okey.

Yeah hata mm naona she is okay ndo mana kaja kulalamika hapa [emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Huu uzi bana unanipa sana raha.
Wanaotakiwa kuteseka wanasema hawateseki wala nini, wako poa tu na hii ilikuwa ni Mazungumzo baada ya habari.

Saaaaaasa siiiiiiiisi wengine tulivyo busy

Hivi kwani tunawashwa nn ila?
Mxxxxxxxiiiie zangu!
 
Kumbuka hatuzungumzii masufuria na vijiko [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Thank you gentleman.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…